baba aura
JF-Expert Member
- Aug 5, 2023
- 254
- 393
Habar wakuu,Nina pikpik aina ya boxer bm 150 sasa hii pikpiki huwa inatoa mlio wa kwenye injinimlio huwa huwa kama Luna kitu kinagonga gonga ndani ya injini
Kwa mafundi nimepeleka na wamebadili kila kitu Ila baada ya Sikh tu kamlio kanaanza tena
Je shida nini wakuu?
Kwa mafundi nimepeleka na wamebadili kila kitu Ila baada ya Sikh tu kamlio kanaanza tena
Je shida nini wakuu?