Hersi mtu mbad sanaWaziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.
Zawadi hiyo amemkabidhi Waziri wa Michezo Rwanda Munyegaju Aurore Mimosa kwa niaba ya Rais Kagame ambaye imeripotiwa yupo nje ya Nchi ya Rwanda kikazi.
Hersi mtu mbad sana
Ficha undezi we kiaziMradi ucoment.....
Andika hoja sio mradi umeandika tu.....
FICHA UJINGA EWE MPUMBAF
Simba ubunifu ni Zero.Kijana aanafanya Vizuri sana Anastahili.
Yanga Wamepata KIONGOZI mzuri mno.
Simba Tuna la kujifunza kwa jamaa.
Yanga inapanda kwenye Rank,
Yanga inakimbia sana mitandaoni.
1. Umoja.
2. USAJILI mzuri.
3. Hamasa ya Timu IPO juu.
4.Uongozi Bora.
5. SADAKA/ Utoaji KWA Yatima.
TATIZO nililoliona kwake
1. Migogoro na wachezaji.
2. Kushtakiwa CAF, FIFA KWA MADENI.
Ushauri.
Atafute wanasheria Bora zaidi wa kuivusha Timu.
MANGUNGU NA TRY AGAN MNAPASWA KUJIFUNZA KWA ENGENEER. .
Hapa umeandika point tuuuuuupuKijana aanafanya Vizuri sana Anastahili.
Yanga Wamepata KIONGOZI mzuri mno.
Simba Tuna la kujifunza kwa jamaa.
Yanga inapanda kwenye Rank,
Yanga inakimbia sana mitandaoni.
1. Umoja.
2. USAJILI mzuri.
3. Hamasa ya Timu IPO juu.
4.Uongozi Bora.
5. SADAKA/ Utoaji KWA Yatima.
TATIZO nililoliona kwake
1. Migogoro na wachezaji.
2. Kushtakiwa CAF, FIFA KWA MADENI.
Ushauri.
Atafute wanasheria Bora zaidi wa kuivusha Timu.
MANGUNGU NA TRY AGAN MNAPASWA KUJIFUNZA KWA ENGENEER. .
Hata wewe umeandika point"Hersi mtu mbady"Hersi ametulia hana akili za kulipuka kama Dr.Matola phd,,,ππHapa umeandika point tuuuuuupu
Pamoja mkuuHata wewe umeandika point"Hersi mtu mbady"Hersi ametulia hana akili za kulipuka kama Dr.Matola phd,,,ππ
Ila Eng. Hersi hiyo nafasi imemfiti sana, anapambana sana. Mwanzo nilikuwa naona aah vipi tena dogo.Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame .
Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo.
Zawadi hiyo amemkabidhi Waziri wa Michezo Rwanda Munyegaju Aurore Mimosa kwa niaba ya Rais Kagame ambaye imeripotiwa yupo nje ya Nchi ya Rwanda kikazi.
vyuo vimefungwaFicha undezi we kiazi
wazee wa vibegi siyoSimba ubunifu ni Zero.