Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Naomba kujua wewe ni MANARA?Kwangu naweza sema ni pesa ndogo japo sina uhakika kama kila mtu ataiona ndogo.Lakini kutoa elfu 35 kununua jezi ambayo klabu itatumia kwa season moja sidhani kama ni kiwango kikubwa.OK,labda ni kiwango kikubwa ,lakini sasa hapo ujue kwamba ata pale timu zinapokosa matokeo mazuri inabidi tupunguze malalamiko sasa, kwa maana tutakuwa hatuna msaada kwa timu zetu.
Kuna mahala unafeli bro.Mzee akili zako ni ndogo huwezi elewa tunachoongelea Mzee.
GSM and MO ni wafanyabiashara, tena asili yao ni mwarabu na mhindi.
Hivi kwa akili yako hiyo hao wafanyabiashara wanazipenda saaaana hizo teams!? Kiasi cha kuwekeza kwa hasara!?
WEWE UNGEKUWA MFANYABIASHARA UNGEWEKEZA KWA HASARA.
Marehemu Geroge Mpondela na Marehemu Reginald Mengi walishauri sana Yanga ijiendesha kama kampuni ila wanachama wakagoma wakati kadi hawalipi, michango hawatoi, jezi hawanunui na uwanjani wanataka kuingia bure kupitia wale makomandoo wao.Kuna mahala unafeli bro.
Mwenzako kahoji swali simple tu,ikiwa unadhani kwamba wawekezaji wanapiga hela ndefu kwa matangazo yale na bado wanalialia,kwanini wakiondoka klabu zetu huwa zinaenda kuwabembeleza? Kwanini klabu zisiachane na wawekezaji hao kisha zenyewe zikaanza kujibandikia matangazo yao (bila kutafuta mwekezaji mwingine)?
Sasa badala ya kujibu hoja unaishia kumkejeli mwenzako kwa kumwambia ana akili ndogo,mara sijui amekuwaje.From a psychological viewpoint,wewe ndo una akili ndogo.
Kujibandikia matangazo yao yapi kwa mfanoKuna mahala unafeli bro.
Mwenzako kahoji swali simple tu,ikiwa unadhani kwamba wawekezaji wanapiga hela ndefu kwa matangazo yale na bado wanalialia,kwanini wakiondoka klabu zetu huwa zinaenda kuwabembeleza? Kwanini klabu zisiachane na wawekezaji hao kisha zenyewe zikaanza kujibandikia matangazo yao (bila kutafuta mwekezaji mwingine)?
Sasa badala ya kujibu hoja unaishia kumkejeli mwenzako kwa kumwambia ana akili ndogo,mara sijui amekuwaje.From a psychological viewpoint,wewe ndo una akili ndogo.
Sio kweli hiyo pesa hata usajili wa msimu tu haitoshiMwaka 2017 aliyekuwa mjumbe wa kamati ya usajili ya Simba alinukuliwa akisema wao Simba pekee bajeti yao kwa mashindano ya ligi pekee ni Mil 900.
Sasa kwa kipindi hicho udhamini wa Azam ulikuwa ni mdogo sana, na walikuwa na mkataba wa Sportpesa pekee.
Hebu jaribu kufikiria kwa timu hii ambayo vyanzo vya mapato ni vichache namna hiyo na mashindano yako mengi kiasi hicho
Hakuzungumzia usajili alizungumzia bajeti ya timu kwenye ligi peke yake.Sio kweli hiyo pesa hata usajili wa msimu tu haitoshi
Haviwezi kufilisika kwa sababu havina kituHivi vilabu vinataka sifa za kijinga tu kwa sababu matumizi yao ni makubwa kuliko mapato na hawana mali zozote za maana.
Tusubiri miaka miwili au mitatu ijayo hivi vilabu vitakuwa vimefirisika kwa sababu havina mapato ya kustahimili mahitaji yao.
Hiyo hela ni ndogo sana kwa sasa hivi sijui lakiniHakuzungumzia usajili alizungumzia bajeti ya timu kwenye ligi peke yake.
Point, hao wanawadhihaki wawekezaji, wakijitoa wanajificha kimyaa.Kuna mahala unafeli bro.
Mwenzako kahoji swali simple tu,ikiwa unadhani kwamba wawekezaji wanapiga hela ndefu kwa matangazo yale na bado wanalialia,kwanini wakiondoka klabu zetu huwa zinaenda kuwabembeleza? Kwanini klabu zisiachane na wawekezaji hao kisha zenyewe zikaanza kujibandikia matangazo yao (bila kutafuta mwekezaji mwingine)?
Sasa badala ya kujibu hoja unaishia kumkejeli mwenzako kwa kumwambia ana akili ndogo,mara sijui amekuwaje.From a psychological viewpoint,wewe ndo una akili ndogo.
Dah maswali ya kipolisi kidogo! mimi sio Manara nduguNaomba kujua wewe ni MANARA?
Ashakum si matusi.Dhamini wewe basi uweke matangazo yako upate faida.
Walipokosekana wadhamini mbona hukujitokeza.
Au timu yako ilikosa matangazo?
Unataka kusikia nyimbo moja tu
Faida Faida Faida.
Tuwekee hapa basi mchanganuo wa hiyo faida
Ili tujue GSM ni Mwongo.
MO ni Mwongo
Wewe ndio Mkweli.
Ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ukacheze. Halafu uje utupe mrejesho. Siyo ku argue bila evidence.Mzee akili zako ni ndogo huwezi elewa tunachoongelea Mzee.
GSM and MO ni wafanyabiashara, tena asili yao ni mwarabu na mhindi.
Hivi kwa akili yako hiyo hao wafanyabiashara wanazipenda saaaana hizo teams!? Kiasi cha kuwekeza kwa hasara!?
WEWE UNGEKUWA MFANYABIASHARA UNGEWEKEZA KWA HASARA.
Mkuu Che mitonga, nakushauri, achana na huyo atakuumiza kichwa!!Timu zikiwa Hoi Kipesa watu mpo Kimyaaa.
Wawekezaji Kwa mapenzi Yao wakiweka pesa zao mnaanza kushangilia Pira Biliani, ooo sijui Mayele fundi, na misemo mingii
The return of Champions.
Huku mkiwadhihaki hao walio waleta Akina Mayele.
Mnataka waseme neno moja tu Faida Faida Faida basi.
Kwanini msiwafukuze hao wawekezaji mchukue hizo Faida wenyewe.
Muwasajiri na hao Akina Mayele tuone Hilo Pira Biliani.
Mawazo yenu ni ya upande mmoja Tu.
GSM sina uhakika, lakini kwa Mo affiliation yake kwa Simba haina mashaka na tangible.Mzee akili zako ni ndogo huwezi elewa tunachoongelea Mzee.