Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Naomba kujua wewe ni MANARA?Kwangu naweza sema ni pesa ndogo japo sina uhakika kama kila mtu ataiona ndogo.Lakini kutoa elfu 35 kununua jezi ambayo klabu itatumia kwa season moja sidhani kama ni kiwango kikubwa.OK,labda ni kiwango kikubwa ,lakini sasa hapo ujue kwamba ata pale timu zinapokosa matokeo mazuri inabidi tupunguze malalamiko sasa, kwa maana tutakuwa hatuna msaada kwa timu zetu.