Huyu jamaa katika kundi lake la WhatsApp linaloshughulika na Maendeleo ya Jimboni kwake Iramba ameandika hivi:
"Hi ni nia tu, Campaign Bado.
Mimi Eng. Jumbe Katala bado nafasi yangu ya kuwatumikia rasmi wna Iramba mbali na hii kujitoa kibinafsi katika kuchangia kuinua elimu Iramba. Wana Iramba bado kwa mara nyingine hasa 2020 natia nia tena ya kugombea Ubunge baada ya kipindi kilichopita kura za maoni kutotosha. Asanteni."
Kwa ujumla huyu, Prof. Kitila Mkumbo, David Jairo, Dkt Zaipuna Yonah na Jesca Kishoa ndiyo wanamfanya Mhe. Mbunge na Dkt. Mwigulu Nchemba atetemeke mfululizo. Lakini hata hivyo Eng. Jumbe na hawa wenzake kwa mambo kiduchu wanayofanya Iramba wanaonesha kabisa ni motive tu - kwani wanayafanya kama danganya toto ili waje wachaguliwe kwenye nafasi ya Ubunge na wala sio kuwa wanafanya kwa nia njema. Ninaamini wanapokuwa hawachaguliwi basi inawauma sana sana. Binafsi Eng. Jumbe na nafasi ya utendaji na uzuri wa akili yake ningemshauri asijiingize sana kwenye siasa. Ona mfano wa moja ya kazi zake hapa:
https://www.iekenya.org/forms/papers/Jumbe N.Katala [The cost of traffic congestion.....]DART.pdf
Ukweli atakayekuja kuwashinda wote wanaoonesha kudondosha udenda kwa kuutaka Ubunge wa Iramba bila kufikiria wataifanyia nini Iramba atawashangaza wengi kwani ni yule ambaye kwa sasa hajulikani na inawezekana kabisa hana mbwembwe za kufanya mambo kwa ajili ya kujitangaza kisiasa na wala hana tabia ya kujipendekeza kinafiki.
===
Ni injinia Senior Transportation Engineer at AfDB
Sep 2012 – Hadi sasa.
Aliwahi kuwa Meneja wa Mipango ya Usafirishaji DART, Juni 2008 hadi Agosti 2014
Pia alifanya kazi Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi kama Mshauri Mtaalamu, Aprili 2006 had May 2008. Pia alikuwa 'Programming Engineer wa TANROADS Julai 2001 hadi 2006
Alikuwa Injinia Mtendaji Wizara ya Kazi, Februari 1993 hadi Juni 2001. Kabala ya hapo alikuwa Mtaalamu wa Umwagiliaji Wizara ya kilimo, kuanzia Julai 1987 hadi Juni 1989
Elimu yake
Alisoma na kujipatia cheti Bihawana Secondary School "O" level -1979 to 1982. Na alijiunga na Ministry of agriculture training institute, Nyegezi-Mwanza 1986 to 1988 na akapata Advanced diploma in Irrigation
Ndanda sec school "A" level 1983 to 1985. Advanced Certficate of Secondary Education
University of Canterbury-christchurch NZ. 1990 to 1993. Bachelor of engineering(BE-Civil)Structural and Transportation/highway Engineering
Technical University Delft-Netherlands. Master of Science (MSc)Roads and transportation Engineering