- Thread starter
- #21
Ameonesha Mkuu - ila sasa naona anataka kutumia mambo aliyoyafanya Jimboni kama tiketi ya yeye kukubalika na kutaka ubunge. Kwa nini asifanye tu kwa nia njema yale anayoyafanya!Jumbe kama ni kweli ameonyesha kutia nia ni mtu mzuri hana makundi na ni mchapa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app