Ameonesha Mkuu - ila sasa naona anataka kutumia mambo aliyoyafanya Jimboni kama tiketi ya yeye kukubalika na kutaka ubunge. Kwa nini asifanye tu kwa nia njema yale anayoyafanya!Jumbe kama ni kweli ameonyesha kutia nia ni mtu mzuri hana makundi na ni mchapa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuwasaidie tu kujua hili sio andiko ni notice. Andiko gani halina citations hata kidogo. Andiko la wanazuoni ni lazima litohoe sehemu kama base of knowledge. hata picha haieleweki ni zake au katoa google hata kama amegoogle si aseme source ni wapi? Tables zote hazina source huyu ni msomi wa kiwango cha ubungo high way.. Litoe bandiko lenu linakera halipo kisayansi ni notice za mwanafunzi wa sekondani anayeandika essay. Hata reference hamna????Kwa hiyo hili andiko la Jumbe kuhusu foleni ndio unatushawishi nalo kuwa anafaa kuwa Mbunge ...!!???
Kwani mtu mwenye akili nyingi anayeandika kitu toka kichwani mwake ni lazima tu alazimishwe kuweka Reference. Naona kama wewe ni Mwalimu wa Chuo utakuwa unanyanyasa sana wanachuo wazuri wabunifu wasioweka mareference.Mkuu tuwasaidie tu kujua hili sio andiko ni notice. Andiko gani halina citations hata kidogo. Andiko la wanazuoni ni lazima litohoe sehemu kama base of knowledge. hata picha haieleweki ni zake au katoa google hata kama amegoogle si aseme source ni wapi? Tables zote hazina source huyu ni msomi wa kiwango cha ubungo high way.. Litoe bandiko lenu linakera halipo kisayansi ni notice za mwanafunzi wa sekondani anayeandika essay. Hata reference hamna????
Kuandika chapicho sio lazima kuwa na akili nyingi ndo utaratibu wa machapisho. sasa kama mtu wenu mnamsifia kiwango hicho lakini anasahahu vitu vya muhimu kwenye chapicho. Hakuna kitu kinachoandikwa kutoka kichwani anayefanya hivyo ni Yesu Peke yake. Kwetu sisi citations zinaonyesha ni namna gani ametofautiana na wenzake katika kutoa chapicho ambalo mnaona linaubunifu wa hali hali ya juu. Hapo itaonyesha ni kweli kama kitu alichofanyia utafiti ni chake na kipo valid. Huu ndiyo utaratibu wa tafiti duniani kote. Kama tafiti zinafanyika Iramba basi zingekuwa ni za kinyiramba mnatafiti kwa lugha za watu bado vigezo mnakosea mnaanza kupayuka. Nyie wanyiramba vipi?Kwani mtu mwenye akili nyingi anayeandika kitu toka kichwani mwake ni lazima tu alazimishwe kuweka Reference. Naona kama wewe ni Mwalimu wa Chuo utakuwa unanyanyasa sana wanachuo wazuri wabunifu wasioweka mareference.
Du! Haupo sahihi kabisa. Kwa hiyo unataka kuniambia watu maarufu kama akina Sokreti, Archimedes, Aristotle, na wabunifu wengine walikuwa ni lazima wafanye reference? Au unaweza kuniambia andiko la Pythagoras reference zake alitoa wapi? We Mkabila bure kabisa!Kuandika chapicho sio lazima kuwa na akili nyingi ndo utaratibu wa machapisho. sasa kama mtu wenu mnamsifia kiwango hicho lakini anasahahu vitu vya muhimu kwenye chapicho. Hakuna kitu kinachoandikwa kutoka kichwani anayefanya hivyo ni Yesu Peke yake. Kwetu sisi citations zinaonyesha ni namna gani ametofautiana na wenzake katika kutoa chapicho ambalo mnaona linaubunifu wa hali hali ya juu. Hapo itaonyesha ni kweli kama kitu alichofanyia utafiti ni chake na kipo valid. Huu ndiyo utaratibu wa tafiti duniani kote. Kama tafiti zinafanyika Iramba basi zingekuwa ni za kinyiramba mnatafiti kwa lugha za watu bado vigezo mnakosea mnaanza kupayuka. Nyie wanyiramba vipi?
Kuwa na makundi ndio kosa gani jamani?Jumbe kama ni kweli ameonyesha kutia nia ni mtu mzuri hana makundi na ni mchapa kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekua "munishaanga" ungeshashinda mabishano.Du! Haupo sahihi kabisa. Kwa hiyo unataka kuniambia watu maarufu kama akina Sokreti, Archimedes, Aristotle, na wabunifu wengine walikuwa ni lazima wafanye reference? Au unaweza kuniambia andiko la Pythagoras reference zake alitoa wapi? We Mkabila bure kabisa!
Wale wanaitwa wafumbuzi au wagunduzi na wanahati miliki ya kitaaluma kwenye nyanja zao. Ili uwe unaeleweka umefanya nini ni muhimu kujitofautisha na wao kwamba walifanya nini na wewe unafanya nini kipya ambacho hakijafanywa na mtu. Ili ueleweke kamba ubunifu wako upo halali. Sasa mtu anakuja na chapisho halina citations utajuaje kama amedesa la Acra Ghana au Singapore? Mtu azuiliwi kufanya utafiti ila huo ndio utaratibu wa kitaaluma. Hata picha unayoa ni lazima useme umeipata wapi je ni ya Ayo, ITV au ya Mnambua Kitila. ili uwe na uhalali ya kwamba pamoja na ubunifu wako bado unakubali wapo waliofanya tofauti nawewe.Du! Haupo sahihi kabisa. Kwa hiyo unataka kuniambia watu maarufu kama akina Sokreti, Archimedes, Aristotle, na wabunifu wengine walikuwa ni lazima wafanye reference? Au unaweza kuniambia andiko la Pythagoras reference zake alitoa wapi? We Mkabila bure kabisa!
Siku hizi maamuzi ya nani atagombea yanatoka kwa kina polepole mkuuAmeshakosa sifa Mapema sana ameanza kampain kabla ya muda
Tunaitunza hii kwa kuweka pingamizi
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
At least unaanza kuafikiana na mimi, Kwa hiyo akiamua kuisajili kwa hati miliki kazi yake hiyo na asitokee mtu wa kumpinga au kuclaim amedesa (plagiarism) basi inakuwa hamna tatizo!Wale wanaitwa wafumbuzi au wagunduzi na wanahati miliki ya kitaaluma kwenye nyanja zao. Ili uwe unaeleweka umefanya nini ni muhimu kujitofautisha na wao kwamba walifanya nini na wewe unafanya nini kipya ambacho hakijafanywa na mtu. Ili ueleweke kamba ubunifu wako upo halali. Sasa mtu anakuja na chapisho halina citations utajuaje kama amedesa la Acra Ghana au Singapore? Mtu azuiliwi kufanya utafiti ila huo ndio utaratibu wa kitaaluma. Hata picha unayoa ni lazima useme umeipata wapi je ni ya Ayo, ITV au ya Mnambua Kitila. ili uwe na uhalali ya kwamba pamoja na ubunifu wako bado unakubali wapo waliofanya tofauti nawewe.
Kichwa sana kafanya nn cha ajabu auHuyu mtu alifanya kazi na Ndugu yangu ni kichwa sana anaweza kuwasiadia Ilamba ila hata Mwigulu namkubali
Wivu tu, Wewe andiko lako wapi sasa!Kichwa sana kafanya nn cha ajabu au
Kupiga domo mmeona ni kichwa
Wabongo bwana
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi huu si kama ule Uchaguzi Mdogo wa waliokuwa wanatoka upinzani. Huu nakwambia Polepole na wenzio usipotuheshimu matakwa yetu tunacross tu na tunamweka Mbunge wetu.Siku hizi maamuzi ya nani atagombea yanatoka kwa kina polepole mkuu
We itunze tu kwa matumizi mengne sio kwa pingamizi😁😁😁
Shakitila vp.... Ili upate miliki ni muhimu uwe na citations.. wewe Mbwane... 🤔🤔At least unaanza kuafikiana na mimi, Kwa hiyo akiamua kuisajili kwa hati miliki kazi yake hiyo na asitokee mtu wa kumpinga au kuclaim amedesa (plagiarism) basi inakuwa hamna tatizo!
We Shalua sio kila kazi lazima iwe lifelensi mayu!Shakitila vp.... Ili upate miliki ni muhimu uwe na citations.. wewe Mbwane... 🤔🤔
Kumbe Mnyira!Shakitila vp.... Ili upate miliki ni muhimu uwe na citations.. wewe Mbwane... 🤔🤔
Wanyira mpo wengi JF!We Shalua sio kila kazi lazima iwe lifelensi mayu!
Mwigulu Nchemba atafanya kazi gani sasa na hana shughuli yoyote ya kujiingizia kipato nje ya siasa?