Pre GE2025 Innocent Bashungwa ana sifa zote za kumrithi Samia baada ya 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini nasema hivyo naweka mambo machache hapa chini. Hata hivyo neno langu siyo sheria.

1. Ni mchapakazi sana na mzalendo mpenda nchi yake kutoka moyoni siyo ile ya kinafiki kama kwa baadhi ya wanasiasa.
2. Anapenda Haki
3. Ana utashi wa kuamua ( hizi character alikua nazo marehemu magu)
4. Ana utulivu

Jamani simjui hanijui ila mtaongezea najua wapo wanaomjua zaidi kuliko Mimi ila nikiulizwa Leo ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia nitasema Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ni the best candidate. Mungu amuongoze huyu kijana.

Pia soma:Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa
 
Huyu kijana nimemwangalia sana na kumfuatilia sana utendaji wake wa kazi. Nadiriki kusema Tanzania baada ya Samia 2030 huyu kijana ana faa na ana sifa zote muhimu kama kiongozi wa nchi. Kwanini nasema hivyo naweka mambo machache hapa chini. Hata hivyo neno langu siyo sheria.
1. Ni mchapakazi sana na mzalendo mpenda nchi yake kutoka moyoni siyo ile ya kinafiki kama kwa baadhi ya wanasiasa.
2. Anapenda Haki
3. Ana utashi wa kuamua ( hizi character alikua nazo marehemu magu)
4. Ana utulivu

Jamani simjui hanijui ila mtaongezea najua wapo wanaomjua zaidi kuliko Mimi ila nikiulizwa Leo ni nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania baada ya Rais Samia nitasema Ndugu Innocent Lugha Bashungwa ni the best candidate. Mungu amuongoze huyu kijana .
Huyu sawasawa kabisa, japo ni mpole sana!!!
 
Makonda hana hizi sifa??
 
Mbona Wamesema 2030 ni Kafulila au kunamabadiliko?
 
Back
Top Bottom