Innocent Killer (The Revenge)

Ahsante Mkuu
Tuwekee hata moja basi
 
Hii story tamu lakini imelala sana mpaka utamu unaondoka, yaani ikiletwa episode mpya inabidi uvute kumbukumbu za matukio kwenye episode iliyopita then ndio uendelee na episode mpya
 
Pongezi kwa uandishi mzuri, ila wahusika ni wengi, matukio nayo ni mengi hivyo ulipaswa uwe unapandisha zaidi ya vipande virefu ili kuleta mtiririko mzuri kwa wasomaji. Vipande vifupi vifupi ni kwa wale watunzi wanaopandisha stori kila siku, tofauti ni kwamba vipande vyako ni vifupi na unatuma mara 1 - 2 kwa wiki kitu ambacho ni usumbufu wa kurudia rudia kusoma ili kupata mtiririko..
 
Nz
Kali kinoma
 
Asante sana kwa maoni kiongozi, nimekusoma vyema.


This week tutasoma kila siku [emoji996]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…