Wimbo JF-Expert Member Joined Oct 23, 2012 Posts 887 Reaction score 664 Jul 6, 2025 #1 Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
Mh. Bashungwa shauriana na Mama yetu, waache watu wamwabudu Mungu wao, maandamano yanayofanywa kila Sunday kwa Gwajima hayana tija na wakiachwa wakasali haina madhara makubwa maandamano yanaharibu image ya Taifa.
edon66 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2023 Posts 3,756 Reaction score 11,435 Jul 6, 2025 #2 Amekula amevimbiwa unadhani atakusikia mkuu wangu 🤔🤔 Kusikia Kwa kenge n mpk damu imtokee puani ,,
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 Jul 6, 2025 #3 Na jana walikwenda kanisani, madaraka haya jamani!