Inonga amechomesha tukafungwa goli na Al Ahly

Inonga amechomesha tukafungwa goli na Al Ahly

Tuendelee fungwa hadi pale tutapojitambua na kuachana na serikali
 
Saido kapoteza nafasi nne za wazi kabisa.

Kanute kapoteza nafasi tatu.

Bado lawama zinaenda kwa Inonga!!!???

JE HAO WANAOLETA MAGALASA YA AKINA JOBE ,SAIDO, BABAKAR, FREDY, MIQUESSON, SAWADOGO, OKWA, OKRA,

FIKICHA AKILI.
 
Saido kapoteza nafasi nne za wazi kabisa.

Kanute kapoteza nafasi tatu.

Bado lawama zinaenda kwa Inonga!!!???

JE HAO WANAOLETA MAGALASA YA AKINA JOBE ,SAIDO, BABAKAR, FREDY, MIQUESSON, SAWADOGO, OKWA, OKRA,

FIKICHA AKILI.
Moja ya sifa za mwanaume ni msimamo wewe huna
 
Amekosea lkn hata kupata goli moja jamani tumeshindwa tunatafuta mtu wa kumuangushia zigo.
 
Simba wamejitahidi lakini kuna shida sana mbele mtu kama Kibu anajitahidi kushinda mipira ya 50/50 na kujituma sana ila kuna sehemu lazima afanyie kazi, akiingia sehemu za mwisho maamuzi yanakuwa shida au anakuwa hajaamua afanye nini na mpira. Lakini kitu kikubwa kinaangusha team zetu kwa Tanzania bado hatujui kushangilia kama unit, Simba au Yanga kushangilia bado sana yes tunajaza viwanja alfu 60 lakini hatujui kufanya fujo majukwaani ili kuwapa nguvu wachezaji wetu na pia kuwatisha wapinzani wetu.
 
Mechi vs Prisons alijiangusha Kopro Mbangula akafunga, jana anaokoa kibishoo mwarabu anafunga kilaini! Huyo ndio Inonga
 
Back
Top Bottom