Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Leo amekua uchochoro wa Obrey Chola ChirwaUyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na akili matokeo yake amekuwa anaburuzwa tu kama gari bovu sasa sijui atatetemeka na Leo au vipi
Muda badooUyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na akili matokeo yake amekuwa anaburuzwa tu kama gari bovu sasa sijui atatetemeka na Leo au vipi
Kama ulishaona chapati za kumimina zinavyogeuzwa kilaini ndo alivyokuwa Inonga leo, alikuwa Kama mlevi wa kimpumu!!Yaani huwezi kuamini kama ndiyo yule Inonga anaye fananishwa na Antonio Rudiger wa Chelsea! Chirwa alikuwa anamgeuza apendavyo.
Mpira burudani,matus ya nnKwa jinsi makabwili munavyomuwaza huyu mwamba lazima atawalawiti tu.
Mayele fc mmejenga bifu na beki bora Inonga kisa kumzuia striker wenu anaefunga underdog tu.
Makabwili Fc wamekalia kuropoka tu.Kwa jinsi makabwili munavyomuwaza huyu mwamba lazima atawalawiti tu.
Hiyo inaonesha wazi kuwa Chirwa ni bora kuliko Mayele.Yaani huwezi kuamini kama ndiyo yule Inonga anaye fananishwa na Antonio Rudiger wa Chelsea! Chirwa alikuwa anamgeuza apendavyo.
Au siyo, na ndo maana beki bora alikuwa anatoa ulimi Kama nyoka, Kukamia jambo ni kubaya sana, Unamkamia mayele asifunge alafu unakwenda kutoa tigo kirahisi kwa mtu mwingineHiyo inaonesha wazi kuwa Chirwa ni bora kuliko Mayele.
Umesahau ngao ya hisani huyo mayele aliwanya nn kumbe na nyie underdogMayele fc mmejenga bifu na beki bora Inonga kisa kumzuia striker wenu anaefunga underdog tu.
Takwimu zao zinasemaje?Hiyo inaonesha wazi kuwa Chirwa ni bora kuliko Mayele.