Inonga amekuwa kitonga mbele ya chirwa

Inonga amekuwa kitonga mbele ya chirwa

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Uyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na akili matokeo yake amekuwa anaburuzwa tu kama gari bovu sasa sijui atatetemeka na Leo au vipi
 
Leo amekua uchochoro wa Obrey Chola Chirwa
 
Uyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na akili matokeo yake amekuwa anaburuzwa tu kama gari bovu sasa sijui atatetemeka na Leo au vipi
Muda badoo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani huwezi kuamini kama ndiyo yule Inonga anaye fananishwa na Antonio Rudiger wa Chelsea! Chirwa alikuwa anamgeuza apendavyo.
Kama ulishaona chapati za kumimina zinavyogeuzwa kilaini ndo alivyokuwa Inonga leo, alikuwa Kama mlevi wa kimpumu!!
 
Yaani huwezi kuamini kama ndiyo yule Inonga anaye fananishwa na Antonio Rudiger wa Chelsea! Chirwa alikuwa anamgeuza apendavyo.
Hiyo inaonesha wazi kuwa Chirwa ni bora kuliko Mayele.
 
Au siyo, na ndo maana beki bora alikuwa anatoa ulimi Kama nyoka, Kukamia jambo ni kubaya sana, Unamkamia mayele asifunge alafu unakwenda kutoa tigo kirahisi kwa mtu mwingine
 
Back
Top Bottom