Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haimzuii wala haibadilishi kitu chochote kuhusu Inonga kuwa mchezaji pekee kutoka ligi kuu ya Tanzania bara kucheza nusu fainali ya AfconKwakweli sio jambo dogo, sisi wacha tubebe kombe la Azam federation na NBC league kama kawaida yetu. Kila mmoja ana mafanikio ya aina yake
Nakumbuka mo alipokuwa akijipigia debe kupata hisa za Simba, alikuwa akiilaumu kuuza wachezaji wake wazuri na akasema anataka Simba iwe Kama Mazembe au Al haily matokeo yake tangia aingie anatongoza kuuza wachezaji Tena hata Bei anaficha.Simba walivyo mapimbi wanauza mchezaji kama huyu, unapotaka kuwa timu nzuri, bakiza wachezaji wako bora inapotokea kuuza uza kwa timu ambayo ni bora zaidi yaani hadhi ya timu inakufanya usiweze mzuia mchezaji.
Kwa miaka ya karibuni far rabat na simba, simba ni kubwa. Simba ilipofikia inabidi iporwe mchezaji na mamelodi, wydad, al ahly huko. Kibaya zaidi wameuza bei ya kawaida tu.