Inonga anaiheshimisha NBC Premier League

🤣🤣🤣🤣huku nikulazimisha furaha hata ambapo haipo!, Hiyo heshima ije kupitia timu ya Congo?.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huku nikulazimisha furaha hata ambapo haipo!, Hiyo heshima ije kupitia timu ya Congo?.
Kupitia Inonga mkuu soma vizuri utaelewa
 
Kwakweli sio jambo dogo, sisi wacha tubebe kombe la Azam federation na NBC league kama kawaida yetu. Kila mmoja ana mafanikio ya aina yake
Hiyo haimzuii wala haibadilishi kitu chochote kuhusu Inonga kuwa mchezaji pekee kutoka ligi kuu ya Tanzania bara kucheza nusu fainali ya Afcon
Na anaenda kutwaa pia kombe hilo ili sisi wanasimba tujivunie na tuweke katika mafanikio yetu ya msimu huu
 
Nakumbuka mo alipokuwa akijipigia debe kupata hisa za Simba, alikuwa akiilaumu kuuza wachezaji wake wazuri na akasema anataka Simba iwe Kama Mazembe au Al haily matokeo yake tangia aingie anatongoza kuuza wachezaji Tena hata Bei anaficha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…