Inonga Baka ujuaji mwingi, mbambamba nyingi kaigharimu Simba

Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality🙌🙌🙌🙌
Huyu dogo ana utoto mwingi sanaa, anadekadeka sana!anapenda kujiona yy ndo kila kitu kuliko wenzie!!atawacost sanaaa
 
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality🙌🙌🙌🙌
mashabiki wa kolo na man u mtafika mbinguni mkiwa mmechoka sana mpaka nawahurumieni.
 
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea ataadhibiwa kwa ujinga wake, anapenda kucheza na jukwaa sana badala ya kufanya mambo ya muhimu.

Mayele leo kampa somo zuri sana kwamba anatakiwa kuwa makini na kuwa na utulivu, yote kwa yote nawapongeza Yanga wameonyesha hawakutwaa makombe yote msimu uliopita kwa bahati mbaya, walistahili na wanaendelea kuonyesha umwamba wao, quality quality quality quality🙌🙌🙌🙌
Waswahili nawakubali sana kwa misemo yenye kufikirisha, kuna msemo unasema " Mgema akisifiwa sana tembo hukitia maji" Ngoma ikivuma sana hupasuka"

Tunawacheck tu kwa kuzooom
 
Back
Top Bottom