Mbna Ile timu ya SA iliwabonda na ilikuwa chini kwny msamamo wa Ligue yao [emoji23][emoji23]Wale malumo ni WA 13 kwenye msimamo wa league PSl. Nafasi ya 3 kutoka chini...
Hivi wangekuwa ni .
Olando.
Kaizercheez.
Au Mamelodi sijui ingekuwaje?????
Kachezeni nao friend match si hamna kazi sasa hiviWale malumo ni WA 13 kwenye msimamo wa league PSl. Nafasi ya 3 kutoka chini...
Hivi wangekuwa ni .
Olando.
Kaizercheez.
Au Mamelodi sijui ingekuwaje?????
Hinnonga,Baleke hamna kitu hapooo.... forward anamaliza 90 bila shoot on target.Ndondooo ndo utamuona.Yaaah mkuu....kupata namba ni ngumu ila kuokota mipira wanaweza
Ninyi si mlivyokutana nao ilikuaje???Wale malumo ni WA 13 kwenye msimamo wa league PSl. Nafasi ya 3 kutoka chini...
Hivi wangekuwa ni .
Olando.
Kaizercheez.
Au Mamelodi sijui ingekuwaje?????