Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Kwa mpira uliochezwa na Kikosi Cha Yanga kilivyo Leo nimeamini kuwa sisi MAKOLO Bora tungehamia Zambia kama tulivyotaka kufanya enzi zile.
Kwa kikosi Mahiri Cha wananchi aliyeko nje ni moto, aliyeko ndani ni moto.
Kwa kikosi Chetu makolo ni baleke tu na inonga wanaweza kuingia kikosi Cha yanga [lakin watafaa kuokota mipira na sio kupata namba].
NB: Inonga na Baleke hawawezi kupata namba, labda kuokota mipira.
Unadhani mchezaji Gani mwingine?