Inonga wenu akipona mwambieni apitie Clips za Mabeki wangu pendwa Wafuatao, awaige na abadilike upesi

Inonga wenu akipona mwambieni apitie Clips za Mabeki wangu pendwa Wafuatao, awaige na abadilike upesi

1.Juma Kaseja,
2. Said Sued
3. Ramadhani Wasso,
4 . Boniface Pawassa
5. Victor Costa.
6. Alex Massawe,
7 Yusuph Macho musso.
8. Suleman Matola velone.
9. Emanuel Gabliel.
10. OTHMAN machupa.
11. Ulimboka Mwakingwe

Hiki ndio kikosi cha Simba kilichoivua ubingwa Zamalek nyumbani 2003
Wasso pekee nadhani ndiye alikuwa mchezaji wa kigeni
 
kilaza wa jf katoa tena boko[emoji1787][emoji1787] kwamba Christopher Alex alikuwaga beki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda Christopher Alex wa Bunda
Eti beki wa Bunda
 
kilaza wa jf katoa tena boko[emoji1787][emoji1787] kwamba Christopher Alex alikuwaga beki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Labda Christopher Alex wa Bunda
Eti beki wa Bunda
 
Jamaa anadhani ninaweza kumjibu UJINGA wake.

Nimeshataja KIKOSI Cha Mnyama 2003
Kilichomtoa BINGWA mtegezi.
Christopher Alex masawe (6)

Mimi NIMEFUNDISHWA Hivi.

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.

Proveb 26:4.

HAPO NDIO NIMEMALIZA YANI.
 
Jamaa anadhani ninaweza kumjibu UJINGA wake.

Nimeshatoka KIKOSI Cha Mnyama 2003
Kilichomtoa BINGWA mtegezi.
Christopher Alex masawe (6)

Mimi NIMEFUNDISHWA Hivi.

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.

Proveb 26:4.

N
Idiot
 
Inongo hua anzingungua afu sikuizi akigiswa kidogo tu anaugulia maumivu kama dem hivi hua sielewi elewi pigo zake
Daktari nae kaigiza km mtoto wa kike akamshona nyuzi 13.

Mnafikiri kwa kutumia makalio/Mas*buri.
 
Daktari nae kaigiza km mtoto wa kike akamshona nyuzi 13.

Mnafikiri kwa kutumia makalio/Mas*buri.
Kwenye kidonda kutumia nyuzi 13 sio kitu cha ajab sema mtaani mtaani mnaona kama kitu cha kutisha sana ila kawaida mbona izo idadi ya nyunzi ni ndogo tu
 
1.Juma Kaseja,
2. Said Sued
3. Ramadhani Wasso,
4 . Boniface Pawassa
5. Victor Costa.
6. Alex Massawe,
7 Yusuph Macho musso.
8. Suleman Matola velone.
9. Emanuel Gabliel.
10. OTHMAN machupa.
11. Ulimboka Mwakingwe

Hiki ndio kikosi cha Simba kilichoivua ubingwa Zamalek nyumbani 2003
shengo hakuanza?
 
Pumbavu Marehemu Christopher Alex Massawe alikuwa ni Kiungo na Beki na kuonyesha kuwa huna Akili na kamwe huniwezi tafuta Mechi za Simba SC kipindi kile hasa Kiungo na aliyekuwa Beki Namba Tano pia Patrick Betwel Buba Masai alipoumia Christopher Alex Massawe alicheza namba ipi.

Kama Mimi ni Jinga la JF Wewe ni Pumbavu Mwandamizi wa JamiiForums.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Na mara nyingi alicheza nafasi ya beki. Msamehe tu huyu kijana mkuu, vijana wengi siku hizi wanachambua mpira au wachezaji wa zamani wakati hawamjui hata Ezekieli Malango mzee wa gozi gambani Nyani wa Manyara. Huwa nikiwa nabishana na mtu halafu nikagundua hamjui Ezekieli Malongo nasitisha zoezi la kubishana maana naona bado ni mbichi kwenye medani. Endelea kulijenga jiji la Mungu mkuu.
 
Mpuuzi kama CAPO DELGADO hawezi Kujua / Kulijua hili na anadhani GENTAMYCINE ni Level yake, nimeanza kufuatilia Mpira leo na ile Tuzo yangu hapa JamiiForums ya Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) niliipata kwa bahati mbaya au kwa Kubahatisha tu.

Kudadadeki....!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Back
Top Bottom