Inquisitive: Baba kwanini kwenye friji kuna barafu?

Inquisitive: Baba kwanini kwenye friji kuna barafu?

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Posts
15,168
Reaction score
10,810
Mwanangu kwa sababu friji ni mashine maalumu ya kutengeneza barafu.Sio swali la kijinga tena siku hizi! kwani naweza tena kuulizwa na mwanangu......

Na kwanini ndani ya CCM kuna mafisadi?

Mwanangu ni kwa sababu CCM ni mtambo maalum wa siku nyingi wa kutengeneza mafisadi. Watu wanaingia safi na kuishi,kufanywa, kubadilishwa na kuwa mafisadi aidha kwa kujua au pasi kujua-kwani maji yanajua nini?.Watateteana maana huwa hawaamini kama kuna msafi ndani yao!. Kama friji kwa asili yake ya kufanya kazi ilivyo ndivyo CCM ilivyo.

Inapakwa rangi (waandishi wa habari), linabadilishwa compressor(rais) na kujazwa gesi(viongozi wengine) na kuwa na nguvu maradufu ya kutengeneza mafisadi, mwanangu kama hauamini nenda kariakoo kanunue used fridge see how it works! Magnificently!!, zinatengeneza barafu mpaka wakati ambao hautaki barafu unaona mabarafu yamejaa kila angle ya friji bila mpangilio!

Huu mtambo maalum wa kutengeneza mafisadi nchi hii, kwanini mmeling’ang’ania?

OLD FRIDGES CAN KILL

See here:

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=l0nmL5heUEk"]http://www.youtube.com/watch?v=l0nmL5heUEk[/ame]

Dump it!
 
yawning.jpg
 
images
images


karibu CCM !!
welcome to the making
of Mafisadi !!
 
umejitahidi kutumia fasihi yako......ujumbe umefika, ni wakati wa kutupa mafriji ya zamani..
 
Tena huwa inatupwa kwa utaratibu fulani isilete madhara.

vijana wa sasa huwa wanachukua scrappers na kufanyia vitu vingine.

CCM ikianguka vyama vya siasa msije kukubali kuchukua hao 'scrapper' maana wana tabia za friji zima!
 
Back
Top Bottom