Insect spy drone

Insect spy drone

Sisi tumekalia kung'oa meno ya Ndovu tu.
 
Hata Osama walijua alipo baada ya kuwapa watoto chanjo pakistan, DNA ya mtoto mwenye uhusiano na Osama ika alert usa position
 
nimependa jinsi kalivyo....
btw Boflo hiyo avatar...mhhhh
 
Last edited by a moderator:
Hata sisi kama tungeitumia vizuri technology ya kuruka kwa ungo na ile ya TV ya asili tungekuwa mbali sana

Umeona eeh!! vipo vingi tu ambavyo kama tungevitila maanani nao wangekuwa wanatuonea gere!!
 
Is this a mosquito?
No. It's an insect spy drone for urban areas, already in production, funded by the US Government. It can be remotely controlled and is equipped with a camera and a microphone. It can land on you, and it may have the potential to take a DNA sample or leave RFID tracking nanotechnology on your skin. It can fly through an open window, or it can attach to your clothing until you take it in your home.
Hii kama fix vile
 
Nimesikia leo BBC ...huyo insect ana uwezo wa kupiga vijibawa vyake mara 120 kwa sekunde...What a speed!!!
Ukitazama movie ya G.I Joes utaelewa vizuri kuhusu shughuli ya wadudu hao.
 
Tunawazidi kwa mengi tu, kwa mfano sayansi ya kusafiri kwa ungo, matumizi ya ngozi za binadamu, nk
 
Sience fix movie/novel zote zinakuja kwenye life sasa!
It is next to impossible now to keep up with the speed ya innovations za wenzetu!
 
Is this a mosquito?
No. It's an insect spy drone for urban areas, already in production, funded by the US Government. It can be remotely controlled and is equipped with a camera and a microphone. It can land on you, and it may have the potential to take a DNA sample or leave RFID tracking nanotechnology on your skin. It can fly through an open window, or it can attach to your clothing until you take it in your home.

Huyo fake angalia hawa RoboBees

article-0-1997DBBF000005DC-460_634x396.jpg

article-0-1996FDD9000005DC-229_634x550.jpg
 
matokeo ya f IV... yametenguliWa TANZANIA....
 
Back
Top Bottom