Inshaallah Roberto Carlos asilimu na kuwa "Muislamu"

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Amesema jana sheikh Litengule akiwa na furaha sana. Kwa kweli tulisheherekea sana. Ndo maana nlikuwa nawaza toka zamani huyu jamaa yale mashuti mbona kama anafaa faa kuwa muislamu? Takdir
......safi sana sana. Nadhani baada ya kuona mwenzie C. Ronaldo amekuwa muislamu na yeye kaona aifuate dini hiyo.

Sheikh Litengule ameelezea sana jambo hili jana kwenye swala ya Maghrib nikafurahi sana kwa kweli wote tulifurahia na kumshukuru kwa kuwa na taarifa nyingi sana.

Screenshot_2026-08-20-15-59-19-835_com.android.chrome~2.jpg
 
kwa mujibu wa wikipedia ...

Roberto Carlos was born in Garça, São Paulo, on 10 April 1973 to Oscar and Vera Lucia da Silva.
On 24 June 2005, Roberto Carlos was robbed by two gunmen while doing a live radio interview. He was not hurt but they took his watch and the interviewer's cellular phone.
On 2 August 2005, he was naturalised as a Spanish citizen. This proved important for Real Madrid, as it meant that he now counted as a European Union player, opening up one of the club's allowed three slots for non-EU players and enabling Real Madrid to sign fellow Brazilian Robinho.
For his 38th birthday, it was reported that Anzhi Makhachkala owner
Suleyman Kerimov bought him a Bugatti Veyron.
Roberto Carlos has 11 children with 7 women. In October 2017, he became a grandfather when his daughter Giovanna gave birth to a son
 
Amesema jana sheikh Litengule akiwa na furaha sana. Kwa kweli tulisheherekea sana. Ndo maana nlikuwa nawaza toka zamani huyu jamaa yale mashuti mbona kama anafaa faa kuwa muislamu? Takdir
......safi sana sana. Nadhani baada ya kuona mwenzie C. Ronaldo amekuwa muislamu na yeye kaona aifuate dini hiyo.

Sheikh Litengule ameelezea sana jambo hili jana kwenye swala ya Maghrib nikafurahi sana kwa kweli wote tulifurahia na kumshukuru kwa kuwa na taarifa nyingi sana.

View attachment 3653812
Huu ni uongo ma mwenyewe amekanusha
 
Amekanusha.

Imani ni utumwa sana...
 
Back
Top Bottom