Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
Natamani ningekuwepo huko, niingie zangu USAWanawatukana na kuwaita makafiri halafu wanakimbilia kwao ..hili dini ni tatizo tupu.
Kama rais wao kakimbia wao ni wakina nani wabaki.Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
Hahahaha mzee wa furusa au siyo ..na hapo unavuta mama la kiarabu kabisaNatamani ningekuwepo huko, niingie zangu USA
Kwa wengine ni kutafuta fursa ya kuingia ughaibuni (Try it or leave it/Trial & Error).Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
HahahahaWamepelekwa QATAR na sio USA.
USA sio mjinga kiasi hicho kuingiza watu hovyo kwa ardhi yake.
Ndiyo,ni ndani ya dege.Kwahiyo humo ni ndani ya ndege la kivita au mbona sielewi?
Sasa hapo linapotaka kupaa na kitua mbona mikanda hawafunga au hakuna ulazima Kwa dege Kama Hilo?Ndiyo,ni ndani ya dege.
Hapo wanakimbia mfumo wa sheria za kidini na madhara yake wanayajua. Lakini hapa bongo kuna mijitu mweusi kama lami inataka mfumo huo wa dini ililetwa na hao wanaozikimbia hizo sheria za kizamani zilizopitwa na wakatiHaya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
Wamepelekwa QATAR na sio USA.
USA sio mjinga kiasi hicho kuingiza watu hovyo kwa ardhi yake.
Maswala ya kufumaniwa unazini eti kupigwa mawe ya kichwa hadi ufe 😂 kama sheria za kitabu cha kiarabu zinavyosema😄!Hapo wanakimbia mfumo wa sheria za kidini na madhara yake wanayajua. Lakini hapa bongo kuna mijitu mweusi kama lami inataka mfumo huo wa dini ililetwa na hao wanaozikimbia hizo sheria za kizamani zilizopitwa na wakati
Hapo dini inahusikaje pimbi!Wanawatukana na kuwaita makafiri halafu wanakimbilia kwao ..hili dini ni tatizo tupu.
Dini ina vipengele vyake ambavyo vinaweza vikahatarisha hio amani pia!wanakimbia utawala wa dini ya amani