Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Ni UONGO wa kutupwa huo jomba DALA fuatilia vyombo vya habari utawala huo ni tishio kila Askari ana maamuzi yake na kila raia hasa mwanamume ana maamuzi yake na hasa haki za wanawake tofauti na Saudia, Hawa wakimbizi wanahamishiwa Nchi za kiarabuHapo huwezi kujua, Taliban inaweza kupenyeza wafuasi wao pia kuingia Marekani kwa njia hiyo. Sina uhakika sana lakini huwezi kuwaamini wote eti wanakimbia vita.
Na siyo kwamba wananchi wa Afghanistan wanaichukia Taliban, naamini wengi wanaichukia Marekani kuliko Taliban ila fursa ikijitokeza kama hivyo ambapo hakuna muda wa background check, mabaharia wanaitumia vizuri sana.