Inside a US transport taking off from Kabul

Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221

Hapo huwezi kujua, Taliban inaweza kupenyeza wafuasi wao pia kuingia Marekani kwa njia hiyo. Sina uhakika sana lakini huwezi kuwaamini wote eti wanakimbia vita.

Na siyo kwamba wananchi wa Afghanistan wanaichukia Taliban, naamini wengi wanaichukia Marekani kuliko Taliban ila fursa ikijitokeza kama hivyo ambapo hakuna muda wa background check, mabaharia wanaitumia vizuri sana.
 
Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
Kama rais wao kakimbia wao ni wakina nani wabaki.
We umeishi nao huko kwao unajua madhira yanayowapata mpaka uhoji kwanini wanakimbia?
Kinachofuata wanakijjua wenyewe ndo maana wanakimbia
 
Haya mambo yanashangaza sana.Hawa waafghanistan wanaenda wapi,kwani Taleban wanaua watu?Kwani kuna vita?
View attachment 1895221
Hapo wanakimbia mfumo wa sheria za kidini na madhara yake wanayajua. Lakini hapa bongo kuna mijitu mweusi kama lami inataka mfumo huo wa dini ililetwa na hao wanaozikimbia hizo sheria za kizamani zilizopitwa na wakati
 
Maswala ya kufumaniwa unazini eti kupigwa mawe ya kichwa hadi ufe 😂 kama sheria za kitabu cha kiarabu zinavyosema😄!

Mara mwanamke ni pambo haruhusiwi kufanya kazi aisee kile kitabu sheria zake ni ngumu sana aisee hasa katika ulimwengu wa utandawazi😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…