Hii taarifa imesema kwamba Ujenzi wa barabara ya Mombasa to Nairobi uliokubaliwa na Trump na Uhuru Kenyatta umefutiliwa mbali kutokana na GoK kutokuwa na pesa. Hahahaha, hahahaha.
Hata hii pia ni muendelezo wa blaah, blaaah za wakenya, kamwe hakuna kitu kitakachotokea. Nchi iliyoshindwa kujenga mradi mzuri na wenye kushikilia maisha na aibu ya nchi nzima ya Kenya " Galana kulalu food production project ", ambao ulihitaji Kshs 10B pekee lakini mumeshindwa, ujenzi wa " Dams" tu mumeshindwa matokeo yake mnagombana karibu nchi inagawanyika vipande viwili, mtawezaje kujenga mradi kama huu?