menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 670
Nimedislike video YAKO,kajifunzeWakuu,
Zile sama za kukomaa kwenda kujenga huko chanika mara sijui bunju zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.
Leo nimetembelea moja kubwa sana hapa Dar nikaipenda sana. Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanao jielewa na wenye elimu.
Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako.
Hahahhaha arumeru tumekosea wapiHakika, huko hata huwezi kusikia huo ujinga wa kurushiana mawe kwenye vichwa au juu ya paa.
Kiufupi mambo ya kipuuzi yanabaki kwa Wapuuzi huko hayafiki.
Mkuu jiheshimuWakuu,