Inside the most luxurious gated communities in Dar es Salaam

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
670
Wakuu,

Zile sama za kukomaa kwenda kujenga huko chanika mara sijui bunju zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.

Leo nimetembelea moja kubwa sana hapa Dar nikaipenda sana. Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanao jielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako.

I had to go to youtube so that i can dislike this video! Kama umeamua kuongea kiswahili ongea kiswahili, kiingereza chenyewe pronunciation mboovu, anaanza kuom ba likes kabla hata video haijaanza! Pathetic
 
Wakuu,

Zile sama za kukomaa kwenda kujenga huko chanika mara sijui bunju zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.

Leo nimetembelea moja kubwa sana hapa Dar nikaipenda sana. Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanao jielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako.

Nimedislike video YAKO,kajifunze
 
Hakika, huko hata huwezi kusikia huo ujinga wa kurushiana mawe kwenye vichwa au juu ya paa.

Kiufupi mambo ya kipuuzi yanabaki kwa Wapuuzi huko hayafiki.
 
Hahahhaha arumeru tumekosea wapi
 
Unadhani hatupendi kukaa huko? Hatuna milioni 50 ya kiwanja, thus why mkuu...hakuna asiyependa,
Kama unazo nunua tu, tuachie huku uswekeni bila kutusema hovyo [emoji1]
 
Wakuu,

Zile sama za kukomaa kwenda kujenga huko chanika mara sijui bunju zimepitwa Na wakati. Kama una hela Yako ya Maana nunua nyumba kwenye hizi Gated community! Ni njema sana.

Leo nimetembelea moja kubwa sana hapa Dar nikaipenda sana. Faida za hizi gated community ni kwanza ulinzi uhakika, umeme uhakika Maana kuna standby jenereta, uzoaji wa takataka ni rahisi Maana kuna kiwango maalum Kwa wakazi wote, aina ya wakazi ni wale wanao jielewa na wenye elimu.

Lakini mwisho kabisa ni kuwa hizi Gated community hukufanya kuwa na majirani wenye hadhi sawa na yako.

Mkuu jiheshimu
 
Back
Top Bottom