Mbu ndio nini.kuja kimya kimya? Au uliogopa tutakuagiza zawadi? Lolz
BTT. . . .
Hiyo kitu ipo tena sana tu Mbu and honestly hamna kitu najali kama hisia zangu binafsi, though I do try considering others aswell. Nikiwa sifurahii kuwepo sehemu i'll leave in a heartbit, If I feel like being somewhere i'll go bila kupanga au kutoa taarifa huku na kule, nikijisikia kutokua karibu na mtu sitokua karibu nae bila kujali nnachoweza kupata/kukosa kwakufanya hivyo au hata mahusiano yetu,nikitaka kuwa karibu na mtu ntakua nae bila kujali anavuochukuliwa na watu wengine au hata alivyo as long as sina hisia mbaya juu yake.
Nakumbuka niliwahi kwenda sehemu miaka kama kadhaa iliyopita, siku hiyo hiyo nikakutana na kijana mmoja(way older than me)nilieambiwa nikae nae mbali kwa sababu kadha wa kadha (NACHUKIA SANA HII TABIA). Kwasababu binafsi sikua na hisia zozote mbaya nilimpotezea yule aliyeniambia alafu nikawa rafiki na yule nilieonywa juu yake. Mpaka leo na kesho bado naamini siwezi kukutana na mtu mwingine kama yeye na wala sijawahi kujutia. Hua natamani sana nikutane
nae hata kwa bahati nimshukuru maana we lost contacts.
Yani, kweli he was bad news for most people around there but he was something else to me. I was sooo very young, extremly naive AND, in a position exploited in so many ways but he never took advantage of me. He was a best friend and more than a brother to me. Na jina langu la Lizzy alianza kuniita yeye. . . ngoja siku moja ntajaribu kumtafuta. Sijui yuko pande gani ya hii dunia sasa hivi.
Kwahiyo Mbu lawama wala zisikupe wasiwasi. . .wewe fanya kile unachohisi ni sahihi ili hata ukikosea uishie kujilaumu mwenyewe na sio mtu mwingine.