UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
Masikini hawa wasanii wetu wa kitambo hicho wanatia huruma sana.Wanajitahidi lakini wapi!
Haya ngoja tumsubiri labda atakuja na jipya.
Kapeleka ngada huyo...! Akirudi anakuwa Bilionea
Km kawaida verse za misosi madikodiko lzm ziwepo. Tume zi miss sana tuu