UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,530
- 1,370
Rapper wa TMK,inspecta anatarajia kwenda nchini japan kutoa ngoma na video mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini hawa wasanii wetu wa kitambo hicho wanatia huruma sana.Wanajitahidi lakini wapi!
Haya ngoja tumsubiri labda atakuja na jipya.
Kapeleka ngada huyo...! Akirudi anakuwa Bilionea
Km kawaida verse za misosi madikodiko lzm ziwepo. Tume zi miss sana tuu