Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Katika pitapita za mitaani nimepata kusikia haya ya kisemwa kwamba Babu - Mkali wa Rap Katuni amekuwa akijishughulisha na kulinda katika sehemu za kuegesha ama kulaza magari usiku huko Temeke.
Mwenye kujua ukweli wa hili ama tofauti na hili basi anitoe kizani tafadhali.
Mwenye kujua ukweli wa hili ama tofauti na hili basi anitoe kizani tafadhali.