lowestein
JF-Expert Member
- Jul 24, 2011
- 307
- 127
Serikari haiwezi kukupa mbuzi, kisu na kamba... mmeshapewa fursa ya kuimba na kufanya shoo kweli tena nini kinahifajika tukupe sauti pia au mashahiri au studio auuu tukupe hela za kwenda kurekodi??
Fanyenk kazi acheni kuiangusha serikari kwalawama na kusubiri itufanyie kila kitu.