Inspector Haroun aka Babu afanya kazi za ulinzi

Afu kiongozi wa 2015 aweke nguvu kwenye MUSIC aachane na mpira kwanza..

#PENDEKEZO_LANGU

Serikari haiwezi kukupa mbuzi, kisu na kamba... mmeshapewa fursa ya kuimba na kufanya shoo kweli tena nini kinahifajika tukupe sauti pia au mashahiri au studio auuu tukupe hela za kwenda kurekodi??

Fanyenk kazi acheni kuiangusha serikari kwalawama na kusubiri itufanyie kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…