Ndio lengo la uzi ukisoma kichwa cha habariHii hajaimba bila biti, ila ni ile ngoma iliyorekodiwa, hapa wametowa sauti ya biti.. sikuliza vizuri
Mziki wa kisasa umetoka mbali, Kipindi hicho kuna chips za kushiba za 100, kumpata inspekta afanye shoo ilikuwa elf 80, kina Dully walikuwa wanalipwa elf 20Wasaniii wa zamani walikua poa sana ...jamaa nilipanda nae abood miaka ile gari zima story tu kama sio msanii mkubwa
Mwamba alikua kabeba na kuku....alipewa zawadi na shabiki ...Sema walikua hawajioni km hawa mashoga wapaka podaMziki wa kisasa umetoka mbali, Kipindi hicho kuna chips za kushiba za 100, kumpata inspekta afanye shoo ilikuwa elf 80, kina Dully walikuwa wanalipwa elf 20
Elfu 80 ya miaka hiyo ni kama laki 8 ya sasa kwa thamani.Mziki wa kisasa umetoka mbali, Kipindi hicho kuna chips za kushiba za 100, kumpata inspekta afanye shoo ilikuwa elf 80, kina Dully walikuwa wanalipwa elf 20
Hawa walikuwa waungwana sana.Mwamba alikua kabeba na kuku....alipewa zawadi na shabiki ...Sema walikua hawajioni km hawa mashoga wapaka poda
Enzi za asali wa moyo alikuwa vizuri sana. Shida ilianza pale alipogeukia kuiga nyimbo za wenzake na kubadili maneno/kuwaponda walioimba. Hapo ndipo carrier yake ilishuka kwa kasi