Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Msanii mkongwe nguli Inspector Haroun Babu aka Tripple 5 ameanza kuisoma namba.Tukio la aina yake lililoacha watu vinywa wazi ni pale alipoandaa show kabambe ukumbi wa Buswelu pub kwa kiingilio cha buku be aka Tsh 2,000/= wananchi wakawa wanajiuliza ni nini kilichomtokea Babu? Ni usawa wa uncle au alikosa promoter au mziki wake umeshuka? Au ndio kuisoma namba maana akifanya kwa la ten anaweza kukosa vichwa?