Inspector Haroun Babu aanza kuisoma Namba.

Inspector Haroun Babu aanza kuisoma Namba.

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
BABU.jpg
Habari wana JF,

Msanii mkongwe nguli Inspector Haroun Babu aka Tripple 5 ameanza kuisoma namba.Tukio la aina yake lililoacha watu vinywa wazi ni pale alipoandaa show kabambe ukumbi wa Buswelu pub kwa kiingilio cha buku be aka Tsh 2,000/= wananchi wakawa wanajiuliza ni nini kilichomtokea Babu? Ni usawa wa uncle au alikosa promoter au mziki wake umeshuka? Au ndio kuisoma namba maana akifanya kwa la ten anaweza kukosa vichwa?
 
Hii pia ni fundisho kwa wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa wajitahidi kuwekeza ili mambo yakibadilika wasipate shida!
 
Sijui tatizo ni nini? Kwa wasanii wetu hawa kina Inspekta na Gangwe Mob walkuwa juu.. walizindua nguo zao za Gangwe Gear 2001nashangaa wanaendelea kwa kurudi nyuma
 
Huyo namba alianza kuisoma hata kabla mzee wa kusomesha namba hajaja
 
Back
Top Bottom