Msalie mtume !Buku mbili yote hiyo mie hata akitumbuiza nyuma ya nyumba simwangalii 😀
Ni hiyo Msukuma Pub hapo Buswelu Centre au ni sehemu nyingine? sasa kama ni hapo Buswelu unategemea akiweka hela kubwa atampata nani?! watu wengi wametulia kwenye makazi yao sidhani kama kuna washabiki wengi wa huo mziki wa kizazi cha sasaView attachment 435825 Habari wana JF,
Msanii mkongwe nguli Inspector Haroun Babu aka Tripple 5 ameanza kuisoma namba.Tukio la aina yake lililoacha watu vinywa wazi ni pale alipoandaa show kabambe ukumbi wa Buswelu pub kwa kiingilio cha buku be aka Tsh 2,000/= wananchi wakawa wanajiuliza ni nini kilichomtokea Babu? Ni usawa wa uncle au alikosa promoter au mziki wake umeshuka? Au ndio kuisoma namba maana akifanya kwa la ten anaweza kukosa vichwa?
Hahahaha kumbe yuko upande wa wale? acha aisome tuAngefulia Roma Mkatolic au Kara Jeremiah ningeweza kusikitika ila sio hawa jingas.
View attachment 435492
We shemeji una maneno...!Buku mbili yote hiyo mie hata akitumbuiza nyuma ya nyumba simwangalii 😀
Alaa kumbe ni mkata viuno wa ni ileile?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Buku mbili yote hiyo mie hata akitumbuiza nyuma ya nyumba simwangalii 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Buku mbili yote hiyo mie hata akitumbuiza nyuma ya nyumba simwangalii 😀
Tehehehhehe mzee wa mboga 7, Makaroni, viepe, bagia, na vitumbua ndipo alipofikia