Inspector Haroun Babu aanza kuisoma Namba.

Inspector Haroun Babu aanza kuisoma Namba.

View attachment 435825 Habari wana JF,

Msanii mkongwe nguli Inspector Haroun Babu aka Tripple 5 ameanza kuisoma namba.Tukio la aina yake lililoacha watu vinywa wazi ni pale alipoandaa show kabambe ukumbi wa Buswelu pub kwa kiingilio cha buku be aka Tsh 2,000/= wananchi wakawa wanajiuliza ni nini kilichomtokea Babu? Ni usawa wa uncle au alikosa promoter au mziki wake umeshuka? Au ndio kuisoma namba maana akifanya kwa la ten anaweza kukosa vichwa?
Ni hiyo Msukuma Pub hapo Buswelu Centre au ni sehemu nyingine? sasa kama ni hapo Buswelu unategemea akiweka hela kubwa atampata nani?! watu wengi wametulia kwenye makazi yao sidhani kama kuna washabiki wengi wa huo mziki wa kizazi cha sasa
 
Hapo Na washabiki hawakuwa wengi licha ya kiingilio kidogo
 
Huo ukumbi Kwa msukuma pub nadhan akipata Watu hawazidi fifty
 
Ndani ya pamba nyepesiiii full pamba full kiyoyozi ndani ya pamba nyepesiiiiii[emoji441] [emoji441] [emoji445] [emoji443] [emoji3]
 
Yaweza kuwa alialikwa tu na hiyo hela hachukui.
Nawaza tu!
 
acheni unoko watu wa buswelu leo tufaidi show kabambe, kwa taarifa yenu mwenzenu anajaza ukumbi balaa huku, show anaandaa mwenyewe, pesa yote ya kwake,na mwenye bar anampa % ya mauzo ya bia, hata hao wa fiesta wanaopewa elf 50 hawamfikii. mbona FM Academia, twanga, na kina Bella wanafanyaga show huko dar kiingilio kinywaji hamshangai
 
Back
Top Bottom