Inspector Haroun Babu aanza kuisoma Namba.

Inspector Haroun Babu aanza kuisoma Namba.

Huyu jamaa aliimba wimbo wakumpona lowassa tangu cku hiyo hapanataka
 
Kwa mziki wasasa lazima akubali kubadilika na kuwa mbunifu lasivyo hawezi kuwa mshindani au atafute kazi nyingine ya kufanya
 
Huyo kaonyesha njia, wapo wengi sana watamfuata huyo.
Kama hajui tu, wasanii kwa sasa wanasema haya

1/Hawatoi tena Album kwa sababu Album hazilipi.(Karibu kila msanii analisema)

2/Show kwa sasa zimepungua kwa sababu hakuna tena Wadhamini au mapromota wa kuwaandalia show.(Hili alilisema Ben Paul)

3/TRA imeanza kuwabana sana kwenye kuwakata kodi kwenye Mapato(Hili alilisema Diamond)
 
Duuuh! mzee wa nje ndani maisha yashamkata funua!!!??
 
Inspector alianza kuisoma namba muda mrefu sana...mara ya mwisho kuonana nae ana kwa ana ilikuwa 2012 alikuwa tayari keshachoka kwa kila kitu
 
Hahaha mzee,wa inspector sema basi unataka nini!!...mimi nabaki aaah iiii oooo uuu! Daaa deki,namba ngoja isomeke tu nchi ilishakua shamba la riz moko!
 
Nadhani hawa malegends wetu kwenye muziki hawakuwa na management nzuri walipokuwa kwenye peak ndo maana wako hivyo tunavyowaona sasa
 
Back
Top Bottom