Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Huyu nae Biashara ya kuuza chips nayo imemshinda?Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
Bab we kawe mganga wa kienyeji tu...umri umeenda na mawazo yako mgando, au ndo unataka ukuu wa wilaya???Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
Mi mwenyewe nashangaa tulimpa msingi wa kuuza chips Mbagala kiburugwa huku karibu na kwa kina Juma Nature hata pesa sijui ya kurekodi kaitoa wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ametoa wapi pesa ya kurekodia nyimbo,
Inspector ambaye hakupita depo ...loh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sema anatafuta kwa kutokeaHuyu nae anajuaga ku diss wenzake tu.
Na kweli maana nilijua kafa.sema anatafuta kwa kutokea
maana alishasahaulika