Inspekta aachia Diss kali kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki wakati unasali kwa Gwajima?".

Inspekta aachia Diss kali kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki wakati unasali kwa Gwajima?".

Bab we kawe mganga wa kienyeji tu...umri umeenda na mawazo yako mgando, au ndo unataka ukuu wa wilaya???
[emoji23] [emoji23] akisoma hii comment lazima alie...ila akubali mziki umemshinda alee wajukuu tu sasa
 
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??

Jamaa ana mambo ya kichoko huyu...ndo maana amebaki kufanya show za mkuranga
 
Huyo kama ni mlango wa kutokea basi ni wachuma na ni wa password na aliyeweka kasahau no flash
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ametoa wapi pesa ya kurekodia nyimbo,

Inspector ambaye hakupita depo ...loh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
insepkta anae tumia fimbo [emoji23] [emoji23]
 
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??

Macho kama Kova
 
Msema kwel mpenzi wa mungu
Inspecta iyo ngoma umefanya bure kwenye studio miyayusho
 
Sawa ni mawazo yake Inspekta...ambaye hata IGP hamtambui...
Ila Babu amefulia jamani...songi halina viwango kabisa...kwishaaaaaaa
 
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??

Huo ukatoliki ni sawa na ufreemason kwamba unalindwa kwa kufahamiana na kadinarli? Yupi bora, anayefahamike na yuko karibu na kadinarli au anayefanamika na yko karibu na Mungu? Ukatoliiki huo unatofauti gani na wale wajana?
 
Mi mwenyewe nashangaa tulimpa msingi wa kuuza chips Mbagala kiburugwa huku karibu na kwa kina Juma Nature hata pesa sijui ya kurekodi kaitoa wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pesa ya mtaji aliitafuna kitambo tu,

Eti nasikia siku hizi inspector ni konda wa dala dala za tegeta, boko ,bunju, bagamoyo.
 
Naona analiamsha Dude siku ya Jumapili kwa Gwajima mapemaaa[emoji126][emoji126][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom