Inspekta aachia Diss kali kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki wakati unasali kwa Gwajima?".

Inspekta aachia Diss kali kwa Roma.. "Unajiita Mkatoliki wakati unasali kwa Gwajima?".

Njaa Kali jamani,hivi yote ni kutafuta kiki apewe hata ubalozi nyumba 10
 
KWANI NI NANI ASIYEMJUA INSPECTOR HARUNI,HUYO NI KASUKU SIKU ZOTE..
 
Alimtabiria atakuja kuliwa ndogo..mwaka mmoja baadae roma anashuka kwenye gari huku anachechemea..akiulizwa yaliyomsibu hataki kusema..ama kweli babu noma kwa utabiri
Ha ha ha.. Inspektaaah Haroun "Babuuuu"
 
Uyu naye achunguzwe pengine ni mumini wa yale mambo maana mtoto gani wa kiume anapenda ugovi na wanaume wenzie

Mnakumbuka kipindi yupo hot alikuwa anpenda ugovi na juma nature sasa mda wao umepita

Kaja na kutaka ugovi na hawa vijana tumeona alimjibu f. A ila F. A akamdharau sasa kaja hivi ebu roma mdharau tuone maana ajielewi
 
Back
Top Bottom