b5-click
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,195
- 2,109
Hip Hop Dressing.. 90'sZama zake zishapita, enzi hizo anavaa mabwanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hip Hop Dressing.. 90'sZama zake zishapita, enzi hizo anavaa mabwanga
Bob muongo wewe! Asa kama song la zaman Gwajima kaingiaje kwenye hilo songSong la zamani hilo.. Ila ukilisikiliza ni utabiri Fulani hivi ambao umekuja kutimia juzi kati baada ya ROMA kutekwa.
Viva Inspektaah Viva.
Na huyo aliyeleta hii post si mnamjua jamani, wale wale wa buku saba wale... Inspector kapewa buku Saba zake, huo wimbo ukasambazwa kwa hawa team Bashite waulete kwenye social media.... Bashite anahangaika kweli kweli....
nani alimtukana ney? inspekta?Alimtukana Ney wa Mitego sana mwaka wa uchaguzi, tena matusi ya nguoni lakini Ney akamuona zoba tu
Weka ukweli mezani Bablai..Bob muongo wewe! Asa kama song la zaman Gwajima kaingiaje kwenye hilo song
Rudia tena kuskiliza utajua nacho maanishaWeka ukweli mezani Bablai..
Kuna Mambo Mawili aidha ulikuwa Nje ya Nchi wakati wa uchaguzi au umezaliwa mwaka Jana.Bob muongo wewe! Asa kama song la zaman Gwajima kaingiaje kwenye hilo song
Wewe umeanza kumsikia lini Askofu Gwajima!?
Bob naona umekazaa, jiulize ngoma ya VIVA ROMA imetoka mwaka ganiWewe umeanza kumsikia lini Askofu Gwajima!?
Kumbe mlimpa msingi, mnashMi mwenyewe nashangaa tulimpa msingi wa kuuza chips Mbagala kiburugwa huku karibu na kwa kina Juma Nature hata pesa sijui ya kurekodi kaitoa wapi
Kumbe mlimpa msingi, mnashangaaje kurekodi wimbo?Mi mwenyewe nashangaa tulimpa msingi wa kuuza chips Mbagala kiburugwa huku karibu na kwa kina Juma Nature hata pesa sijui ya kurekodi kaitoa wapi
Hahahahah.. Nikukazie kisa nini mzee baba.!?Bob naona umekazaa, jiulize ngoma ya VIVA ROMA imetoka mwaka gani
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Inspekta Haroun, alitumia lugha kali sana. Ule wimbo huwezi hata upload hapa. Lakini Ney alimpotezea tunani alimtukana ney? inspekta?
Song la zamani hilo.. Ila ukilisikiliza ni utabiri Fulani hivi ambao umekuja kutimia juzi kati baada ya ROMA kutekwa.
Viva Inspektaah Viva.