Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa Miheko Ndio inachukua nafasi.JAMANI HIYO NYIMBO NI YA ZAMANI, INSPEKTAAH ALIMJIBU ROMA KIPINDI AMBACHO ROMA ALITOA WIMBO WA "VIVA ROMA VIVA".
ILA NAONA WATU WANADHANI NI WIMBO MPYA.
VIVA INSPEKTAAAH VIVA.
Unafahamu ngoma imetoka lini...?Roma yuko na wananchi walio wengi, hyo inspector atakuwa na kikundi kidgo
Yanasikika mashairi huko yakimdiss Roma mkatoliki kwa kuiponda serikali,
hakuna atakayekuachia ukiipotosha umma
Eti unajiita Roma, kardinali hakutambui, huna unachoongea unajiumauma
Unajiinamisha mkatoliki kumbe mfuasi wa Gwajima
Mziki wa Magufuli utauweza??
Vyovyote, iwe ya juzi au jana issue ni kuwa Roma is an activist trying to speak before the mass. Huyo inspector anajarbu kuteteaUnafahamu ngoma imetoka lini...?
Hii ya Inspecta haroun-hapa Kazi tu.
Natanguliza kwanza!!Vyovyote, iwe ya juzi au jana issue ni kuwa Roma is an activist trying to speak before the mass. Huyo inspector anajarbu kutetea
the top layer
Watu wanatafuta kikiHuyu nae anajuaga ku diss wenzake tu.
Aliyeleta Uzi si msengeeerema tu, anaitangaza YouTube akaunti/channel yake kijanja.Natanguliza kwanza!!
"Watawala Mauwongo Wapinzani Mauwongo"
Jiulize kwanini Mleta Uzi hakuleta kipindi wimbo unatolewa wa inspecta wakati anamujibu ...kunakitu anajaribu kukitengeneza Mleta Uzi.
Tulia Fanya uchambuzi.
Kwenye hili la bia hata mimi shahidi.Mziki umekushinda piga kimya unataka kiki kupitia Roma maisha mabovu una stres utajuta ukujipangaa eee.naskia unapenda bia za bure utagongwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umemaliza Mkuu kwa maelezo yako swafi kabisa!! Safi sana.Aliyeleta Uzi si msengeeerema tu, anaitangaza YouTube akaunti/channel yake kijanja.
Huyo jamaa thread zake zote ni habari picha/sauti ambazo ukifatilia zinakupeleka ktk channel moja ya YouTube inaitwa ZINAZOBAMBA MTANDAONI... Kumiliki Channel sio kosa, Hata Kuitangaza pia (Japo Sijui Kama JF wanaruhusu 3rd party Business kupitia Wao bila malipo)
Kosa kubwa la jamaa ni kuupotosha umma kama baadhi ya mistari inavyosikika kwenye huo wimbo... Mosi, jamaa kasema kitu kinabamba mtandaoni ila kiukweli hii nyimbo haipo "hit", pili jamaa kaiweka na kuweka habari kana kwamba wimbo huu umetoka juzi/jana wakati wimbo una zaidi ya mwaka na miezi kadhaaa, hii imepelekea wachangiaji kumshukia na kumdhalilisha Inspektaah Haroun " Baaabuuu" Jambo ambalo sio.
Mleta Uzi Kuwa Makini.. Wengine Ni Wafuatiliaji Wa Nyimbo Za Chini Ya Handaki/Ardhi "Underground"