Yupo sahihi! No Reforms No Election ni ubinafsi nao.
Kwamba ccm waachwe waendelee kuiba na kuiharibu nchi?Yupo sahihi! No Reforms No Election ni ubinafsi nao.
Siyo hiyo, Mgombea huru ndiyo reform inayohitajika katika nchi hii ila hakuna anayeizungumziaKwamba ccm waachwe waendelee kuiba na kuiharibu nchi?
Nilikuwa nasoma soma kwenye blog za wakenya wanasema huyu alikuwa mtoto pekee kwa baba yake na kafa kaacha mtoto wake wa kike mwenye 3 weeks
Huyo mgombea huru atatokana na wagombeaji gani ikiwa kuna wanaojiita wapinzani lakini wana-support matendo wanayofanya ccm?Siyo hiyo, Mgombea huru ndiyo reform inayohitajika katika nchi hii ila hakuna anayeizungumzia
Najiuliza lile genge la Rango na kina Kasheku 😂😂😂Niko nafuatilia senate plenary,IGP anakaangwa na maswali bila uwoga.
Najiuliza lile genge la Rango na kina Kasheku Msukuma wanaosema hakuna cha kujifunza Kenya wanaweza kumpa wito bilionea wa mama Wambura kuja kujieleza kwa matukio yote yaliyotokea chini yake?
Slavery mentality!Jamaa wako very open kwenye mambo yao, wanaelekea kwenye maturity and civilization level.
Najiuliza lile genge la Rango na kina Kasheku 😂😂😂
Hamia Kenya mkuu ukajifunze vizuri.Tuna mengi ya kujifunza
Yupo sahihi! No Reforms No Election ni ubinafsi nao.
NRNE ni stage ya pili baada ya wananchi kujua faida ya kumchagua mtu. Siyo kipaumbele kama ilivyo sasa. Sijui unanielewa?Kuhitaji mabadiliko kabla ya uchaguzi Ili uchaguzi uwe huru, haki na kuaminika kunaweza kuwa na ubinafsi kwa mdai au mdaiwa?
View attachment 3364741
Majibu yenu tafadhali.
NRNE ni stage ya pili baada ya wananchi kujua faida ya kumchagua mtu. Siyo kipaumbele kama ilivyo sasa. Sijui unanielewa?