Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heaven on desertAlitumia jina gani
B.I.G alikufa siku kama ya jana miaka 20 iliyopita, hivyo jana ilikuwa ni maadhamisho ya kifo chake.B I G ndo siku yake leo au
Mimi nasubiri yule jamaa akupige chini...🙂nakumbuka enzi hizo yuko active JF alikua ananipenda mwenyewe
ningemkubaliaga labda sa hivi ningekuwa natokea tokea kwenye video za WCB lol
kweli alikua anaandika vibayaa na watu wanamshambulia hadi huruma [emoji23][emoji23], ila siku hizi instagram anaandika vzuri adi kiinglishWanamuita mzee wa kuvimba kuliko boss wake.
Namkumbuka sana alikuwa anaandika vibaya kama Pdidy nilikuwa napata tabu sana kumuelewa.
Haha umetisha!nakumbuka enzi hizo yuko active JF alikua ananipenda mwenyewe
ningemkubaliaga labda sa hivi ningekuwa natokea tokea kwenye video za WCB lol
Na ndicho kilicho mkimbiza humu, niliwahi muuliza mahali! Watu mlimkomalia humuIla ana sifa sana apunguze kidogo,nakumbuka kipindi yupo active alikua anashushuliwa humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nasubiri yule jamaa akupige chini...🙂
Nibemende mimi binti kiziwiKipindi kile heaven on desert alikuwa sio mzuri katika uandishi kabisa, alikuwa anaandika hovyo hovyo akageuka kituko humu.
Siku hizi nikipita kwenye Insta account yake ameimprove sana katika uandishi anamtiririko mzuri katika maandishi yake angalau unapata mantiki ya anachokiandika.
Sema mi nampendaga, natamani kumbemenda! Wasafi si wanapenda wamama jamani?
Hahaha.Nibemende mimi binti kiziwi
Siwezi kumwaga kuku kwenye mtama wengi.....jamaa gani tena lol.....
Hahahaha tisha sanaSiwezi kumwaga kuku kwenye mtama wengi.....
itabidi tuyazungumze kule kwingine..[emoji3] [emoji3]Siwezi kumwaga kuku kwenye mtama wengi.....
Njoo nakusubiri..itabidi tuyazungumze kule kwingine..[emoji3] [emoji3]
Nakuomba niko chini ya miguu yako nibemendeHahaha.