Inspiration history ya Kifesi; Mpiga picha maarufu wa WCB

Wanamuita mzee wa kuvimba kuliko boss wake.

Namkumbuka sana alikuwa anaandika vibaya kama Pdidy nilikuwa napata tabu sana kumuelewa.
kweli alikua anaandika vibayaa na watu wanamshambulia hadi huruma [emoji23][emoji23], ila siku hizi instagram anaandika vzuri adi kiinglish
 
Kipindi kile heaven on desert alikuwa sio mzuri katika uandishi kabisa, alikuwa anaandika hovyo hovyo akageuka kituko humu.
Siku hizi nikipita kwenye Insta account yake ameimprove sana katika uandishi anamtiririko mzuri katika maandishi yake angalau unapata mantiki ya anachokiandika.

Sema mi nampendaga, natamani kumbemenda! Wasafi si wanapenda wamama jamani?
 
Nibemende mimi binti kiziwi
 
Maskini kifesi sio muongeaji sana aise..haya baba...
 
Jamaa yupo vizuri sana anaonekana sio mtu wakujiskia
We mpaka leo hajui kuendesha gari, ni nadra sana kutokea watu kama hawa , au ndo wasukuma wa shinyanga walivyo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…