Wewe jamaa sometimes unapenda sana ubishi. Unajua kubisha na kudakia kila mada haina maana unaelewa kila kitu? Jamaa ameshakuambia kuwa ikishindikana njia moja, hacker atatumia njia nyingine. Usiinterpret hacking kwa kiwango cha uelewa wako, amini kuwa hackers wapo, na wapo smart. Hackers will always hacker.
Hackers sio crackers au wajinga wajinga kama unavyodhani. Sometimes kuna watu hujiita hackers lakini in real sense they are not even close to it. Jaribu kusoma watu wanaotoa genuine advises, sio kama nyie humu kila kitu mnajua, uone how much does it take to be a hacker:
https://www.quora.com/How-should-I-...dge-of-Java-PHP-or-some-others-of-these-types
Nakupa mfano mzuri, Daniweb:
www.daniweb.com ilihackiwa mwaka 2015, data zikawa zinauzwa dark webs, pmoja na kuwa waliotengeneza hiyo web na wanaoisimamia ni advanced IT experts, hawakujua kama walihackiwa mpaka January 2017. Usibishe tu kuonekana mjuaji. Nakupa excerpt ya habari hiyo:
It has come to our attention that some members of DaniWeb have received a notification from ID monitoring companies that have been a cause for concern. These notices report that DaniWeb member accounts have been hacked, and the wording is such that some recipients have contacted us as they are concerned that their login email and password have been compromised.
We have investigated this matter, and concluded that the notifications refer to data being traded on dark web sites, where criminals buy and sell databases of logins from breaches. The DaniWeb breach in question happened back in December 2015 and came to our attention here at DaniWeb in January 2017.