Instagram account ya Diamond Platnumz imekuwa verified

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Hatimaye mwanamuziki anayeshika nafasi ya pili kuwa na mashabiki wengi zaidi instagram (zaidi ya milioni moja na laki moja) diamond platnumz account yake imetambulika rasmi na Instagram na kuwekwa alama ya verified

Kwa hili anaungana na wanamuziki wa Afrika waliokuwa verified Davido, D banj na Don jazzy

Kumbuka kuwa verified hakuhitaji kutuma maombi, ni wao tu kukutambua na kukuverify.

Na kwakuwa imewekwa kwaajili ya kutofautisha accounts za mastaa wakubwa kuepusha matatizo ya kutumia jina moja kwa account zaidi ya moja, ni lazima wao wakutambue kama staa mkubwa na kukutambua ni kupitia vyombo vya habari vikubwa duniani (kama unavyoona diamond nyimbo zake zinavyochezwa CNN hivi sasa na habari zake tofauti, interviews BBC, Aljazeera, kutajwa kuwania tuzo kubwa tofauti duniani kama hizi MTV EMA mara kwa mara n.k) baada ya hapo wanatafuta account yako wanakutumia email kupata confirmation ya account yako ikiwa ni yenyewe ndipo wana verify..

https://instagram.com/diamondplatnumz/?hl=en
 
Last edited by a moderator:
Nimeona hadi raha

Si unajua tena nikiingia insta bila kwenda kuona kunani kwa page yake na mkewe Zari ni kama sijaingia.

Hongera Diamond.
 
so what .tupo bussy na siasa ya domo muachie midomo

Ungekuwa hamkubali ungepita kimya mshabiki wake wewe.

Kuna maisha baada ya kesho, ni mwendo wa kula bata na sio kuumiza vichwa na siasa.
 
Nimeona hadi raha

Si unajua tena nikiingia insta bila kwenda kuona kunani kwa page yake na mkewe Zari ni kama sijaingia.

Hongera Diamond.

hahahah yani huyu jamaa kila kitu kizuri ni yeye hahaha pwilo ulisema wakiverify nikuite hapaa naona ni wiki mbili tu zimepita, ishara njema hii ya Ushindi wetu kesho tuzo mbili MTV EMA na ukawa kushikilia uskani!!
 
Last edited by a moderator:
Yaani nimeipenda hiyo mpaka basi, halafu kuna vimtu vinatuletea habari za kusadikika lakini habari halisi wanazikwepa DIAMOND anatambulika na Dunia nzima.
 
Kidingi inavyoonekana utakuwa na umri kati ya 18 kushuka chini sasa account ipo verified pia unaanzisha thread ?? Kwa hyo wizkid na ali kiba ni wasani ma underground maana not verified ???
Acha utoto wako ww na kedrick
 
Last edited by a moderator:
Kidingi inavyoonekana utakuwa na umri kati ya 18 kushuka chini sasa account ipo verified pia unaanzisha thread ?? Kwa hyo wizkid na ali kiba ni wasani ma underground maana not verified ???
Acha utoto wako ww na kedrick

Kumbe Ali kiba hajafanya collabo na wiz kid we c ulisema washafanya pwilo daah muongo we umeumbuka
 
Last edited by a moderator:
pwilo kwanini unapenda kuleta habari za mwanamuziki wako anaejaribu kuchipukia international yani ilimradi tuuu tunavyomjadili King of afropop basi na ye atembelee nyota... acha hizoo

Afu ujuwe suala la wanamuziki kama Psquare, Wizkid, Aka, 2face kutokuwa na verified instagram accounts ni kutokutambulika na Instagram tu!!! Na unaposema mwanamuziki mkubwa sio kama kila sehemu unakuwepo tunaangalia average, na kutambulika social network inayopendwa zaidi duniani kwa sasa ni credibility ya kutosha kwa msanii...

Na hilo linatokana na kutokutolewa kama njugu kwa kila mtu
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Ali kiba hajafanya collabo na wiz kid we c ulisema washafanya pwilo daah muongo we umeumbuka
Wapi pameandikwa hajafanya au kiswanglish kimekupitia kushoto soma uelewe ww
 
Last edited by a moderator:
Acha uongo bwana hilo zali tu la mentali baada ya kumtukana yule muhindi kule ila sio kwamba ni bora kuliko hao majembe hapo na wizkd hana uo ujinga
 
Last edited by a moderator:
Wapi pameandikwa hajafanya au kiswanglish kimekupitia kushoto soma uelewe ww

We kumbe ujui English km yule mgombea wa uraisi hauoni hapo shabiki anaomba collabo ya wiz kid na Ali kiba hadi kiba ka retweeet ckia nenda shule kwanza ukishapata elimu ndo uje kubishana na mie ujinga unakusumbua
 
Sasa kwani huyo si shabiki tatizo nn hapo ulitaka amjibu tayari au ??
Silent but sure
We subiria mabalaa #kingkiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…